Home »
» KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI SHINYANGA NA KUANZA RASMI ZIARA YAKE
KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI SHINYANGA NA KUANZA RASMI ZIARA YAKE
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara
baada ya kuwasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga
leo asubuhi tayari kwa kuanza ziara yake ya siku nne mkoani humo katika
kuimarisha chama na kuhamasisha wananchi katika kushiriki kwenye
shughuli za maendeleoKatibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Khamis Mgeja
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kupokelewa katika mji
mdogo wa Isaka
hViongozi mbalimbali wa Chama wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Akisalimiana na viongozi
mbalimbali wa chama wakati alipowasili katika mji wa Isaka Wilayani
Kahama leo asubuhi.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia na Khadija Kusaga aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Ezekiel Maige
mbunge wa jimbo la Msalala wilayani Kahama katika mkoa wa ShinyangaKatibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkabidhi kipaza sauti Katibu wa
Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye wakati wakiongea na
wananchi katika mji wa Isaka, katikati ni Khameja Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa ShinyangaWananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi hayo.Khameja Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga akizungumza na wananchi wakati wa mapokezi hayo kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kulia ni Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye . Waananchi wakinyanyua mikono juu wakishangilia wakati Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye hayupo pichani akiongea.
0 comments:
Post a Comment