Na Marco Maduhu,SHINYANGA

MBUNGE wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi,
ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi,
Vijana,Ajira na watu wenye ulemavu,amekabidhi Combat 100 kwa Itifaki 
ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM wilaya ya Shinyanga Mjini.