Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
FREDINA M SAID (43) mkazi wa Kishapu Shinyanga
namba yake ya ushiriki ni MS 22 ni mkulima na ana sahamba lenye ukubwa wa ekari
12.
ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu
anabuni njia mbalimbali za kumuingizia kipato na pia anaunda vikundi vya
kijasiriamali na anaendesha mdahalo kwa wanawake ili wajitambue. "Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 67" anasema
MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA
0 comments:
Post a Comment