Mshauri
 wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr.James Rugemalira akizungumza na wadau 
mbalimbali wa mjini Bukoba wakati wa Promosheni ya bia za Windhoek Lager
 na Windhoek Draught katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 tangu 
kuanzishwa kwa Kampuni hiyo zilizofanyika Hoteli ya New Coffee Tree Inn 
mjini Bukoba leo usiku. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com simu namba 0712-727062)
 Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo.
Mrembo huyu mnywaji wa Windhoek naye
alikuwepo kwenye promosheni hiyo.
Meneja Mauzo wa Kanda ya Ziwa, Godfrey Mwangungulu, akielezea ubora wa Bia za Windhoek.
Mdau wa Windhoek akifuatilia matukio yote kwa karibu.Mrembo huyu mnywaji wa Windhoek naye
alikuwepo kwenye promosheni hiyo.
| Mshereheshaji wa Promosheni hiyo, Andrew Kagya, akiwajibika. | 
Meneja Mauzo wa Kanda ya Ziwa, Godfrey Mwangungulu, akielezea ubora wa Bia za Windhoek.
Hakika imependeza.
Fr.James
 Rugemalira (katikati), akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali.  Kutoka 
kushoto ni Mwanasheria Mwandamizi wa Serikali mkoani Bukoba, Sakina 
Husein Sinda,Mganga Mkuu wa Halmsahauri ya Wilaya ya Bukoba, Hamza 
Mugura, Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya inayofanya shughuli
 zake mjini Bukoba ya KADETFU, Yusto Muchuruza, Mshauri wa Fr.James, 
Enic Kashasha na Andrew Kailembo, Mmiliki wa Walkgard Hoteli, Adventina 
Matungwa na Dk.Julius Zelothe.
 Wanahabari wakiwa kwenye promosheni hiyo.
 Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo
Promosheni imenogaaaa.
 Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo.
 Mkurugenzi
 wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya inayofanya shughuli zake mjini Bukoba
 ya KADETFU, Yusto Muchuruza,akichangia mada katika promosheni hiyo.
Hapa Windhoe imependezaaa ni tamuuuuuuu
 Wadau wakipata kinywaji cha Windhoek katika promosheni hiyo.
 Meza kuu hiyoooo, wanachangamkia Windhoek.
Ma DJ wakiwajibika katika promosheni hiyooo.(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com simu namba 0712-727062).
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment