Home » » Ajali mbaya ya Gari la Mizigo kutoka Kahama kuelekea Bukombe Shinyanga watatu wajeruhiwa vibaya jioni hii

Ajali mbaya ya Gari la Mizigo kutoka Kahama kuelekea Bukombe Shinyanga watatu wajeruhiwa vibaya jioni hii

 Hapa ni muda mfupi baada ya ajali wananchi wamejitokeza na kujitahidi kusaidia watu.
 Huyu ni kijana ambaye hakutambulika kwa jina ameumia vibaya upane wa kichwani anavuja damu 
 Konda wa Gari hilo akiwa Hoi sana Baada ya ajali hiyo nae inasemekana ameumia sana 
 Wanajeshi wakiwa wamefika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada 
 Moja ya Mdada ambaye ameumia vibaya na mguu wake kusagika ni baada ya ajali hiyo
Kijana mdogo ambaye Jina lake halikufahamika mapema akiwa amelala huku damu zikiwa zimamvuja kutoka kichwani.. Hapa wanafanya mpango wa kumpeleka hospitalini.
Picha zote na Ephra Mwaluseke wa Tone media

0 comments:

 
Supported by Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Shinyanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa