Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mh. Ally Nassoro Rufunga akisisitiza juu ya utekelezaji
wa Mpango wa Kujiandaa kukabili Maafa Mkoani Shinyanga wakati alikiuzindua mpango
huo leo Mjini Shinyanga kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu
Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mh. Ally Nassoro Rufunga akimkabidhi Mkuu wa Wilaya
ya Shinyanga Bi. Annarose Nyambi Mpango wa Kujiandaa kukabili Maafa Wilayani
Shinyanga baada ya uzinduzi wa mpango huo leo Mjini Shinyanga kushoto .
Baadhi ya wajumbe kutoka Wilaya za mkoa wa Shinyanga wakiwa katika picha ya
pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mh. Ally Nassoro Rufunga(wa pili kushoto),
baada ya uzinduzi wa Mpango wa Kujiandaa kukabili Maafa Mkoani Shinyanga leo,
(wa tatu kushoto) ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu, Lut Jen (Mst)
Sylivester Rioba.
Picha na Michuzi Blog
Picha na Michuzi Blog
0 comments:
Post a Comment