Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imesimamiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’
Ni kwa neema
tuuuuuu na rehemaaa, ni kwa neema tuu……ndo nyimbo ilikuwa inaunguruma
kwa spikaaa na mabiharusi na mwenzie akawa wanaingia kwa kunesa nesa
MISA YA SHUKURANI ILIFANYIKA NYUMBANI MCHANA
naturalista hadi siku ya harusi
MADAMEEE DIANA AKITUMIKA
HATIMAYE USIKU UKAWASILI BI HARUSI AKAZAMA UKUMBINI
TUKIO Lililofuata ni ufunguzi wa champagne….mambo ya cheers na nini….B12 alisimamia show
Pi harusi wakati akimsaka WAubani akajaa tumpe password aliko
MENGINEEEE TUWAACHIE BABA NA MAMA…… YASHINYANGA YALIBAKI SHINYANGA
|
Posted: 11 Aug 2015 08:47 AM PDT
WAKATI
TUKIJISUUZA KWA SWIMMING POOL BAADA YA CHAI YA JIONI MAMAA HILDA WA
SMILEY KIDS EVENTS ALIKUWA MZIGONI KUTUANDALIA SEHEMU YA DINNER
SHUGHULI ZA JIGAUNI MBURUZOO NDO HIZI UKICHEZA SHURTI ULIWEKE MKONONI
SELFIE WITH THE BRIDE TO BE
MKUBALI TU HALI HALISI ni hii mzigo wa kula……huku kubebwa muhimuuu
FMF FLAVIANA
MATATA FOUNDATION ILIHUSIKA KIMTINDO , MNAKUMBUKA ILE KAMPENI YETU YA
KUGAWA MABOYA….TULIFURAHI KUVAA KUWA MABOYA USAFIRI SALAMA MAJINI
|
0 comments:
Post a Comment