Kaimu
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akitia saini katika
kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Makazi ya kulea Wazee
cha Kolandoto Mkoani Shinyanga.
Kaimu
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi(kushoto) akisikiliza
maelezo kutoka kwa Afisa Mfawidhi wa Kituo cha kulea wazee cha Kolandoto
Bi Sophia Kang’ombe jinsi ya kuwasha Jiko la Gesi lililopo katika kituo
hicho ikiwa ni moja ya mradi wa majiko ya Gesi katika Makazi ya kulea
wazee nchini wa pili kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt
Rashid Mfaume.
Afisa
Mfawidhi wa Kituo cha kulea wazee cha Kolandoto Bi Sophia Kang’ombe
akiwasha moja ya Jiko la gesi lililopo katika kituo chake wakati Kaimu
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi (kushoto) alipotembele
kukagua maendeleo ya mradi huo hivi karibuni.
Kaimu
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi(Kushoto) akiangalia moja
ya jiko linalotumia Nishati ya Gesi linalowaka wakati alipotembele
kukagua maendeleo ya mradi huo hivi karibuni.
Muonekano
wa Majiko yanayotumia Nishati ya Gesi yatakayotumiwa kuhudumia katika
makazi ya kulea wazee ya Kolandoto na makazi mengine ya kulea wazee
nchini.
Kaimu
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akizungumza na
Mwenyekiti wa wazee waishio katika makazi ya Kolandoto Shinyanga Mzee
Maganga alipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi kabla ya kuwekwa kwa
jiwe la Msingi katika jingo la bweni la wazee n maradi wa majiko
yanayotumia Nishati ya Gesi.
Picha na Raymond Mushumbusi WAMJW
0 comments:
Post a Comment