Home » » KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA BWENI LA WAZEE SHINYANGA

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA BWENI LA WAZEE SHINYANGA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

  Kaimu Kamishina wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi(wa kulia) akieleza jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga (wa pili kushoto)wakati katibu Mkuu huyo alipofanya ziara maalum katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto mkoani Shinyanga kukagua maendeleo ya ujenzi wa bweni jipya la wazee na mradi wa majiko ya kisasa yanayotumia nishati ya gesi.


  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akiangalia maendeleo ya Ujenzi wa bweni litakalotumiwa na wazee wa Makazi ya Kulea Wazee ya Kolandoto, Shinyanga.




 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akiangalia mitungi ya Gesi inayotumika katika majiko  yaliyopo katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto (Kulia) ni Katibu Tawala wa mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovela.


  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akipewa maelezo na Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Kulea Wazee wasiojiweza ya Kolandoto jinsi ya kuwasha Jiko la Gesi lililopo katika makazi hayo.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akitoa maelekezo kwa watumishi wa Makazi ya Kulea wazee wasiojiweza wakati alipotembelea kujionea mandeleo ya ujenzi wa bweni la wazee na mradi wa majiko yanayotumia nishati ya gesi.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akizungumza na mmoja wa wazee katika Makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto mkoani Shinyanga.

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akifurahia jambo na baadhi ya wazee katika Makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto, Shinyanga.



 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akiiangalia bajaji inayotarajiwa kukabidhiwa katika makazi ya kulea wazee wasijiweza ya Kolandoto, Shinyanga.
  Kaimu kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akiendesha bajaji inayotarajiwa kukabidhiwa katika makazi ya kulea wazee wasijiweza ya Kolandoto Shinyanga wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) alipotembelea makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto kujionea maendeleo ya ujenzi wa bweni la wazee na mradi wa majiko yanayotumia Nishati ya Gesi.



 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Wizara, Mkoa wa Shinyanga na watumishi wa Makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Shinyanga, muda mfupi baada ya ukaguzi wa makazi hayo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Shinyanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa