Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla (Mb) akisalimiana na Katibu wa Baraza la wazee wa Mkoa
 wa Shinyanga Mzee Faustin Sengerema wakati alipokuwa katika ziara ya 
Kutembelea Makazi ya Kulea Wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliyopo 
Shinyanga.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) akisalimiana na naibu Meya wa Manispaa ya 
Shinyanga Mhe. Joyce Machiya wakati alipokuwa katika ziara ya Kutembelea
 Makazi ya Kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto mkoani Shinyanga.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) akisalimiana na Kaimu Kamishina wa Ustawi wa Jamii
 Bw. Rabikira Mushi wakati alipokuwa katika ziara ya Kutembelea Makazi 
ya Kulea Wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliyopo Shinyanga.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) akiangalia moja ya chumba wanapoishi wazee katika 
Makazi ya Kulea wazee ya Kolandoto Shinyanga wa pili kushoto ni Afisa 
Mfawidhi wa Makazi hayo.
Kaimu 
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Nyabanganga Taraba akizungumza na wazee
 pamoja na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe la
 msingi katika bweni la wazee, uzinduzi wa mradi wa majiko ya nishati ya
 gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee nchini; hafla 
iliyofanyika katika kambi la Kolandoto, shinyanga.
Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto 
Bibi Sihaba Nkinga(kulia) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Afya, 
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis 
Kigwangalla(Mb)(kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe
 la msingi katika bweni la wazee, sanjari na uzinduzi wa mradi wa majiko
 ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee nchini. Tukio la 
uzinduzi lilifanyika kambi ya Kolandoto, Shinyanga.
Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto 
Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na wazee pamoja na wananchi waliofika 
kushuhudia uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee 
uzinduzi wa mradi wa majiko ya nishati ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa 
makazi ya wazee nchini.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) akizungumza na wazee pamoja na wananchi waliofika 
kushuhudia uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee 
uzinduzi wa mradi wa majiko ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya 
wazee.
Mwenyekiti
 wa Wazee waishio katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto 
Mzee Samwel Maganga akitoa shukrani zake kwa Naibu Waziri wa Afya, 
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis 
Kigwangalla(Mb) kwa kitihada za Serikali za kuwajengea bweni jipya, 
kuwakabidhi majiko ya gesi na bajaji kwa ajili ya huduma ya usafiri kwa 
wazee.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi 
wa Bweni la wazee waishio katika makazi ya wazee wasiojiweza ya 
Kolandoto Mhandisi Harold Jackson Mtyana wakati Naibu Waziri huyo 
alipofanya ziara ya kukagua ujenzi huo na kuweka jiwe la msingi.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) akilsililiza Katibu wa Baraza la wazee wa Mkoa wa 
Shinyanga Mzee Faustine Sengerema mara baada ya kuweka jiwe la Msingi 
katika jengo la bweni la wazee katika makazi ya wazee waisiojiweza ya 
Kolandoto mkoani Shinyanga.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) akisililiza matumizi ya nishati ya jiko la gesi 
kutoka kwa Afisa Mfawdhi ya Makao ya wazee Kolandoto katika Manispaa ya 
Shinyanga, muda mfupi kabla ya uzinduzi wa matumizi ya majiko hayo 
katika vituo vya makao ya wazee na watoto hapa nchini.
Naibu 
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis 
Kigwangalla(Mb) akikata utepe katika moja ya bajaji kuashiria ugawaji na
 matumizi rasimi ya bajaji hizo katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza
 ya Kolandoto Shinyanga kwa niaba ya Makazi mengine nchini.
Naibu 
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis 
Kigwangalla(Mb) akimkabidhi funguo ya bajaji Afisa Mfawidhi wa Makazi ya
 Kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Bi Sophia Kang’ombe kwa niaba ya 
maafisa Wafawidhi katika makazi mengine nchini.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) akimkabidhi Sanduku la Huduma ya kwanza Afisa 
Mfawidhi wa Makazi ya Kulea Wazee wasiojiwezaya Kolandoto Bi Sophia 
Kang’ombe kwa niaba ya maafisa Wafawidhi katika makazi mengine nchini.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) akicheza Mziki na baadhi ya wazee waishio katika 
Makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Shinyanga katika hafla ya
 uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee, uzinduzi wa mradi wa 
majiko ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee nchini.
Naibu 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt 
Hamis Kigwangalla(Mb) (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na 
uongozi wa Mkoa na Wilaya ya shinyanga , Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
 na baadhi ya wazee waishio katika Makazi ya Kulea wazee wasiojiweza 
nchini.
Picha na Erasto Ching’oro WAMJW
 
0 comments:
Post a Comment