Home » » Uchangiaji CHF Kusaidia Utabibu Shinyanga

Uchangiaji CHF Kusaidia Utabibu Shinyanga

 wazee ndiyo chimbuko letu..mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya NHIF pia ni Rais wa CWT bwn. Gratian Mukoba akitoa msaada wa mashuka kwa wazee waliopo kwenye kambi ya wazee ya kolandoto,ikiwa ni katika mwendelezo wa siku ya wadau wa NHIF mkoani Shiynyanga.
 pokeeni msaada huu ili uwasaidie wahitaji hususani hakina mama wajawazito walale sehemu safi na watoto watakaojifungua.
 hata wodini tunafanya kazi ....ni mjumbe wa bodi ya mfuko wa taifa wa bima ya afya Bwn Gratian Mukoba akimsikiliza sh mwalimu Devotha Msenyu aliyekuwa amelazwa kwenye hospitali ya mkoa wa shinyanga kwa matibabu wakati wa kutoa msaada wa mashuka kupitia siku ya wadau wa NHIF mkoani humo.
 NHIF inayo dhamira ya dhati katika kusaidia makundi maalum hususani wazee kupitia mipango yake mbalimbali kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya,pichani ni Mjumbe wa bodi,waganga wafawidhi wa mkoa na kambi ya wazee,watumishi wa mfuko wa kanda na makao makuu. 
Na Grace Michael

0 comments:

 
Supported by Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Shinyanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa