Home » » Kesi ya uchaguzi Meatu, Mbunge wa (CHADEMA) kidedea

Kesi ya uchaguzi Meatu, Mbunge wa (CHADEMA) kidedea


Habari rasmi kutoka Maswa ambako Mahakama
Kuu Kanda ya Magharibi ilikuwa imekaa kutoa hukumu dhidi ya kesi ya
kupinga matokeo ya ubunge wa Meshack Opulukwa (CHADEMA), ni kwamba mbunge huyo
ameshinda kesi hiyo iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Jambo.

0 comments:

 
Supported by Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Shinyanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa