Home » » Waziri Mkuu Mizengo Pinda Aung'uruma Kahama

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Aung'uruma Kahama

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana  na wazee wakati
alipohutubia mkutano wa hadhara  kwenye uwanja wa Halmashauri ya wilaya
 mjini Kahama Septemba 8,2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (mwenye miwani kulia)
wakitazama ufyatuaji matofari kwa kutumia saruji na udongo wakati
alipozindua Kituo cha kilimo na kukabidhi matrekta Mjini Kahama akiwa
katika ziara ya siku moja wilayni humoSeptemba 8, 2012.
Wanawake wakicheza ngoma ya Waswezi katika mkutano wa hadhara
uliohutubiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye uwanja wa Halmashauri
ya Wialaya Mjini Kahama Septemba 8, 2012. Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu

0 comments:

 
Supported by Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Shinyanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa