Muonekano wa jengo jipya la Kahama fm kwa mbele |
Studio
za Radio Kahama fm zitahamishiwa rasmi tarehe 30/12/2013 siku ya
Jumatatu kama unavyoona ni jengo jipyaaa liko eneo la mtaa wa Nyahanga
mjini Kahama na ukitaka kufika pita barabara ya polisi kwenda juu
Nyahanga angalia mkono wa Kushoto utaona jengo hilo.Kila kitu
kimeshakamilika taarifa za uzinduzi rasmi zitawajia
0 comments:
Post a Comment