Mamlaka
ya ufundi stad VETA kanda ya magharibi imedhamiria kutoa somo la
ujasiliamali kwa vijana wanaojifunza ufundi katika vyuo vya ufundi
stadi.
Mwenyekiti
wa mamlaka hiyo kanda ya magharibi Dr Gerson Nyadzi wakati alipokuwa
akifungua mkutano wa wakuu wa wa wakuu wa vyuo vya ufundi stadi kanda ya
magharibi uliofanyika katika chuo cha Veta Shinyanga.
Mwenyekiti
huyo amesema muhimu sana kwa vyuo vya ufundi stadi kutoa elimu ya
ujasiliamali ili kuwaandaa vyema vijana katika kukabiliana na maisha.
Adha
Dr Nyadzi amewataka wakuu wa vyuo vya ufundi stadi kuhakikisha wanatoa
taalumu inayokwenda sanjali na soko la ajira kwa sasa.
Awali
mkurugenzi wa mamlaka ya ufundi stad Veta kanda ya magharibi bibi
Hildegardis Bitegera amesema kwamba veta kwa sasa wanatoa elimu ya
ujasiliamali kwa vijana.
0 comments:
Post a Comment