Home » » INASIKITISHA SANA: KICHANGA CHATUPWA KICHAKANI HUKO KAHAMA

INASIKITISHA SANA: KICHANGA CHATUPWA KICHAKANI HUKO KAHAMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 



 Maiti ya mtoto huyo
 Mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na miezi 6 ambaye hajatambulika jina lake wala makazi amekutwa amefariki dunia kichakani baada ya kutupwa na mtu asiyefahamika katika kijiji cha Mhongolo wilayani Kahama
Afisa Mtendaji wa Kijiji hicho Ally Manyama amesema kuwa  baada ya kufika eneo la tukio alikuta mwili wa mtoto huyo ukiwa umeviringishwa katika kitenge na kutupwa kichakani katika eneo hilo.
Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo

0 comments:

 
Supported by Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Shinyanga Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa