Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha
kutengeneza mifuko ya Sandarusi cha Fresho Investment Company limited cha
Mkoani Shinyanga. Wengine katika picha ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck wakwanza kulia mwenye kilemba ,
mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele wakwanza kushoto, pamoja na mmiliki wa
kiwanda hicho Fred Shoo watano kutoka kulia.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akivuta utepe kwenye jiwe
la ufunguzi wa kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko ya Sandarusi cha
Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga. Kulia ni
mmiliki wa Kiwanda hicho Fred Shoo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimsikiliza mmiliki wa wa kiwanda hicho cha Fresho, Fred Shoo kuhusu malighafi ya kutengenezea mifuko ya Sandarusi.
0 comments:
Post a Comment